Kuelekea kuundwa Katiba Mpya, mchakato wapamba moto

By Gadiola Emanuel - 9:53:00 AM

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria, Katiba na Utawala Mhe. Tundu Lisu akichangia leo wakati kamati hiyo ilipokutana Dar es Salaam kujadili Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011.
Picha na Prosper Minja - Bunge Kwa picha zaidi tembelea.
Mjumbe wa Kamati ya Sheria, Katiba Utawala Mhe. Andrew Chenge akitoa angalizo na ushauri wa kitaalamu wakati wa mjadala wa Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2011
Mhe. Ole Konnay, Mjumbe wa Kamati ya Sheria, Katiba na Utawala akitoa ushauri wake wakati wa majadala.
Wajumbe wa Kamati
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria, Katiba na Utawala ikiwa imekaa leo katika Ofisi ndogo ya Bunge Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria, Sheria na Utawala Mhe. Pindi Chana .

  • Share:

You Might Also Like

0 comments