MATUKIO MBALIMBALI YA KIFO CHA ALIEKUWA RAISI WA LIBYA MUAMMAR GADDAFI...

By Gadiola Emanuel - 4:44:00 PM


Mwili wa Muammar Gaddafi ukisafilishwa baada ya mapigano.
Huyu ni miongoni mwa askari akifyatua risasi juu kuashiria ushindi wa vita.
Katika shimo hili ndimo alipokuwa amejificha Muammar Gaddafi akisubiria msafara wa majeshi ya NATO lakini haikuwa hivyo, alishambuliwa.


Hizi ni baadhi ya gari za wapiganaji wa Gaddafi zikiwa zimeharibiwa vibaya na mapigano.

Huu ndio mwili wa aliyea kuwa Rais wa Libya Muammar Gaddafi, ukiwa umelazwa chini ukichukuliwa picha na wanachi wa Libya.Hiki ni kifo cha kusikitisha sana.

Bila shaka unaona wanajeshi wa kiasi wakiwa katika eneo la tukio walipo mtoa Gaddafi ndani ya mfereji wa kwanza (kushoto)

Huyu ni mmoja kati ya shuhuda wa waasi akionyesha kidhibitisho cha kuuwawa kwa aliekuwa Raisi wa Libya Muammar Gaddafi.Mkononi ameshikilia Kiatu na nguo alizokuwa amevaa Gaddafi wakati wa mapigano.

  • Share:

You Might Also Like

0 comments