BLOGU YA 8020 FASHION YATIMIZA MIAKA 5 YA UTENDAJI WAKE

By Gadiola Emanuel - 9:14:00 AM

Mmiliki wa Blogu ya mavazi ya 8020 Fashions Shamimu Mwasha kushoto aka Shamimu Zeze pamoja na mgeni rasmi Mbunge wa CCM viti maalum Dar es salaam Agela Kairuki wakizundua nembo ya mavazi ya B2A itakayomilikiwa na Shamimu, wakati wa hafla ya kutimiza miaka 5 ya mtandao wa 8020 Fashions iliyofanyika kwenye ukumbi wa Daimond Jubilee jijini Dar es salaam leo mchana. Tukio hilo limedhaminiwa na kampuni ya Vodacom Tanzania kupitia mradi wake wa kusaidia wanawake MMWEI na kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers kupitia kinywaji chake kikali cha Baileys
Shamimu Mwasha mmiliki wa 8020 Fashion akimlisha keki mgeni rasmi Mh. Angela Kairuki wakati wa hafla ya blogu hiyo kutimiza miaka 5 ya utendaji wake wa kazi.
Shamimu Mwasha mmiliki wa 8020 Fashion akikata keki katika uzinduzi huo huku mgeni rasmi Mh. Angela Kairuki akishuhudia tukio hilo, kulia ni mbunifu wa mavazi Khadija Mwanamboka.
Wageni waalikwa katika hafla hiyo wakijimwaga stejini kucheza muziki kama wanavyoonekana katika picha.
Shamimu Mwasha mmiliki wa 8020 Fashion na mgeni rasmi Mh Angela Kairuki wakiangalia mavazi ya nguo zilizobuniwa kwa kutumia nembo ya mavazi ya B2A kama wanavyoonekana.
Shamimu Mwasha mmiliki wa 8020 Fashion akizungumza katika hafla hiyo wakati alipokuwa akikaribisha wageni mbalimbali.
Kulia ni Meneja wa MMWEI Mwamvua Mlangwa na Joseline Kamuhanda kutoka Vodacom Tanzania.
Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Kampuni ya Vodacom Tanzania , Mwamvita Makamba kulia akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa MMWEI Vodacom Tanzania Mwamvua Mlangwa katika hafla hiyo.
Joseline Kamuhanda kushoto na Grace Lyon kutoka Vodacom Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla hiyo.
Mgeni rami Mh. Angela Kairuki akitoa hotuba yake katika hafla ya miaka 5 ya blogu ya 8020 Fashion iliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
Wageni mbalimbali wakiwa katika mavazi ya vitenge na kanga.
Vilemba pia vilikuwepo katika hafla hiyo kama unavyoona katika picha.

Mgeni Rasmi Mh Angela Kairuki kushoto akiwa na waheshimuiwa wabunge wanawake mbalimbali katika hafla hiyo.
Sinta mwigizaji wa filamu wa siku nyingi kulia naye alikuwepo ndani ya nyumba kama unavyomuona katika picha akiwa na marafiki zake.

  • Share:

You Might Also Like

0 comments