MKURUGENZI WA VODACOM DIETLOF MARE AAGWA RASMI MKOANI MBEYA

By Gadiola Emanuel - 5:47:00 AM

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro(katikati) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare anaemaliza muda wake hapa nchini,picha inayomuonyesha akisimikwa na wazee wa kimila wa kabila la Wahehe,wakati alipotembelea mkoa huo kuwaaga rasmi hivi karibuni,kulia Mkurugenzi wa Vodacom kanda ya nyanda za juu kusini Jackson Kiswaga.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro kushoto Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania anaemaliza muda wake hapa nchini,Dietlof Mare(katikati) Mkurugenzi wa Vodacom kanda ya nyanda za juu kusini Jackson Kiswaga,wakiwa wameshikilia picha inayomuonyesha Mare akisimikwa na wazee wa kimila wa kabila la Wahehe mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Mkoa,wakati alipotembelea mkoa huo kuwaaga rasmi hivi karibuni.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akimsisitiza jambo Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kanda ya juu kusini kwa ajili ya kumuaaga rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Marehayupo pichani anaemaliza muda wake hapa nchini,wapili kutoka kushoto Mkuu wa Wilaya Mbeya Evance Balama.
Baadhi ya wageni waalikwa walioudhuria hafla hiyo ya kumuaaga rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mareha hayupo pichani anaemaliza muda wake hapa nchini.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro(katikati) akiangalia picha inayomuonyesha Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare anaemaliza muda wake hapa nchini akisimikwa na wazee wa kimila wa kabila la Wahehe (kushoto) wakati alipotembelea mkoa huo kuwaaga rasmi hivi karibuni,kulia Mkurugenzi wa Vodacom kanda ya nyanda za juu kusini Jackson Kiswaga.
na Fullshangwe Blog 

  • Share:

You Might Also Like

0 comments