Nini kitajiri kati ya Manchester United na Manchester City?

By Gadiola Emanuel - 4:06:00 PM

Sir Alex Ferguson

Aliyekuwa mlinzi wa Manchester United Gary Pallister anaamini kwamba pambano la Jumapili dhidi ya Manchester City linachukua mahali pa mchuano na Liverpool kuwa ndio pambano lao la msimu.

Alisema mechi kali yao zaidi ilikuwa wikendi iliyopita dhidi ya Liverpool
Meneja wa Manchester United Sir Alex Ferguson amesema pambano kati ya Man U na Liverpool ndio pambano kubwa kushinda yote kati ya vilabu vya kandanda duniani.
Lakini Pallister ameiambia BBC Sport: "City wamewakiuka United katika msimamo wa Premier League na wamethibitisha kwamba watakuwa wapinzani thabiti kwa ubingwa wa msimu huu.
"Hili huenda likawa ndilo pambano kubwa zaidi kwa United hata kushinda pambano na Liverpool."

  • Share:

You Might Also Like

0 comments