Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dr.Migiro akutana na Rais Dr. Jakaya Kikwete

By Gadiola Emanuel - 6:06:00 AM

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu na kufanya mazungumzo na Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro jijini Dar es salaam leo asubuhi(picha na Freddy Maro /ikulu)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro.

  • Share:

You Might Also Like

0 comments