MFALME WA BIA" PLISNER LAGER YAZINDULIWA MAISHA CLUB

By Gadiola Emanuel - 12:39:00 PM

Mgeni rasmi Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Profesa Jumanne Maghembe wa pili kutoka kulia akigonganisha glasi na Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Serengeti Breweries Bi. Teddy Mapunda (wa pili Kulia) Mkurugenzi wa Masoko Bw. Ephraim Mafuru na Brand Manager Plisner Lager Maurice Njowoka kushoto, kuashiria uzinduzi rasmi wa bia ya plisner lager. uliofanyika jana usiku kwenye klabu ya Maisha Oysterbay jijini Dar es salaam
Pichani Juu na Chini ni Mgeni rasmi Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Profesa Jumanne Maghembe akib0nyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa bia hiyo.Wanaoshuhudia tukio hilo ni Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Serengeti Breweries Bi. Teddy Mapunda (wa pili Kulia) Mkurugenzi wa Masoko Bw. Ephraim Mafuru na Brand Manager Plisner Lager Maurice Njowoka.
Mkurugenzi wa Mauzo SBL Bw. Segun Macalauy (kushoto), Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Serengeti Breweries Bi. Teddy Mapunda (katikati) na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya hiyo Ephraim Mafuru wakibadilishana wakati wakimsubiri mgeni rasmi kuwasili pamoja na wageni waalikwa
Sasa imezinduliwa rasmi.
Wageni waalikwa mbalimbali katika uzinduzi huo wakifurahia kinywaji cha Pilsner Lager Imara kama Simba
Baada ya uzinduzi nyi kinywaji kwa kwenda mbelea kama wanavyoonekana baadhi ya waalikwa wakiwa wameshikilia bia ya Plisner Lager mkononi ili mradi kuburudika.
Ilikuwa ni burudani baada ya uzinduzi huo kama wanavyoonekana wakicheza kwa staili ya aina yake.
picha na Full shangwe blog 

  • Share:

You Might Also Like

0 comments