Rais
Jakaya Kikwete akiagana na viongozi wa ngazi za juu wa CCM baada ya
mazishi ya Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Uhuru FM Juma Penza, jana
katika makaburi ya Kisutu mjini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), John Chiligati.
.Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akimwagilia maji kwenye
kaburi la Baba yake Marehemu Mussa (Mosses) Salum Nnauye kwenye
makaburi ya Kisutu mjini Dar es Salaam, jana. (Picha zote na Bashir
Nkoromo-Uenezi CCM).
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akiwa kwenye kaburi la Baba
yake Marehemu Mussa (Mosses) Salum Nnauye kwenye makaburi ya Kisutu
mjini Dar es Salaam, jana.
0 comments