WATU 30 WAJERUHIWA KATIKA AJALI MKOANI MBEYA
By Gadiola Emanuel - 2:35:00 PM
Zaidi ya watu 30 wamejeruhiwa katika ajali mbaya na hakuna aliyefariki iliyotokea kwenye mteremko wa mlima Mbalizi wilaya ya Mbeya vijijini, ambapo ajali hii ilitokea majira ya saa moja na nusu usiku ikihusisha malori matatu yenye matela na gari ya abiria aina Costa moja maarufu kama Half London au Makete inayofanya ruti ya safari kutoka Mbeya mpaka Tunduma. Katika ajali hiyo malori hayo yaliziba barabara na hivyo kusababisha magari mengine kushindwa kupita.
Baadhi ya…
Zaidi
ya watu 30 wamejeruhiwa katika ajali mbaya na hakuna aliyefariki
iliyotokea kwenye mteremko wa mlima Mbalizi wilaya ya Mbeya vijijini,
ambapo ajali hii ilitokea majira ya saa moja na nusu usiku ikihusisha
malori matatu yenye matela na gari ya abiria aina Costa moja maarufu
kama Half London au Makete inayofanya ruti ya safari kutoka Mbeya mpaka
Tunduma. Katika ajali hiyo malori hayo yaliziba barabara na hivyo
kusababisha magari mengine kushindwa kupita.
Baadhi
ya majeruhi kati majeruhi 30 wakiwa wameketi chini, wakiwaweshikwa na
butwaa kushindwa kuamini kile kilichotokea baada ya kutoka salama
katika ajali mbaya iliyotokea kwenye mteremko wa mlima Mbalizi wilaya
ya Mbeya vijijini, ambapo ajali hii ilitokea majira ya saa moja na nusu
usiku ikihusisha malori matatu yenye matela na gari ya abiria aina
Costa moja maarufu kama Half London au Makete inayofanya ruti ya safari
kutoka Mbeya mpaka Tunduma. Katika ajali hiyo hakuna aliyefariki
lakini malori hayo yaliziba barabara na hivyo kusababisha magari
mengine kushindwa kupita.
Mashuhuda
waliofika eneo la ajali ambapo zaidi ya watu 30 wamejeruhiwa na hakuna
aliyefariki katika ajali mbaya iliyotokea kwenye mteremko wa mlima
Mbalizi wilaya ya Mbeya vijijini, ambapo ajali hii ilitokea majira ya
saa moja na nusu usiku ikihusisha malori matatu yenye matela na gari ya
abiria aina Costa moja maarufu kama Half London au Makete inayofanya
ruti ya safari kutoka Mbeya mpaka Tunduma lakini malori hayo yaliziba
barabara na hivyo kusababisha magari mengine kushindwa kupita.
Moja
kati ya malori matatu yaliyosababisha ajali na kuziba barabara na hali
iliyopelekea magari mengine kushindwa kupita katika ajali mbaya,
ambayo zaidi ya watu 30 wamejeruhiwa na hakuna aliyefariki katika ajali
hiyo iliyotokea kwenye mteremko wa mlima Mbalizi wilaya ya Mbeya
vijijini, ambapo ajali hii ilitokea majira ya saa moja na nusu usiku
ikihusisha malori matatu yenye matela na gari ya abiria aina Costa moja
maarufu kama Half London au Makete inayofanya ruti ya safari kutoka
Mbeya mpaka Tunduma.
Picha na Global Publishers
0 comments