KATIBU UVCCM AMTEMBELEA KIJANA ALIYEMWAGIWA TINDIKILA IGUNGA

By Gadiola Emanuel - 8:00:00 AM

katibu mkuu wa umoja wa vijana wa (UVCCM)Martine Shigela akiwa nazungumza na kijana Musa Tesha ambaye alimwagiwa tindikali Igunga.
Picha ya kijana Musa akiwa anawasimulia waheshimiwa waliomtembelea akiwemo mbunge wa viti maalumu kupitia UVCCM mkoani Arusha Catherine Magige jinsi tukio halisi lilivyo mtokea.
Viongozi mbalimbali wa chama cha mapinduzi kutoka mkoani Arusha waliambatana na katibu wa UVCCM kwenda kumuangalia kijana huyo.


Kijana Musa Tesha (24) jinsi anavyoonekana akiwa amemwagiwa tindikali wakati wa  kampeni za uchaguzi Igunga kwa sasa yupo moshi kwa matibabu zaidi ila hali yake inaendelea vyema

  • Share:

You Might Also Like

0 comments