TP MAZEMBE WACHUKUA UBINGWA WA DRC

By Gadiola Emanuel - 12:07:00 PM


"Mshambuliaji Mbwana Samata kutoka TANZANIA ni mmoja ya wachezaji waliochangia kupatikana kwa ubingwa wa TP Mazembe msimu huu."

Klabu ya TP Mazembe imefanikiwa kuchukua ubingwa wa ligi ya DRC jana jumapili kufuatia ushindi wao wa 2-0 dhidi ya yenye mafanikio zaidi kisoka nchini humo, DC Motema Pembe.
Mabingwa watetezi AS V.Club, ambao walishikwa na ktoa sare ya tasa na CS Don Bosco, kwa sasa hawawezi tena kuwafikia TP katika msimamo wa ligi.TP Mazembe wanaongoza ligi hiyo kwa tofauti ya pointi 4 huku ukiwa umebakiwa mchezo mmoja kwa timu zote kumaliza mechi zao katika Super league.

  • Share:

You Might Also Like

0 comments