SERENGETI BREWERIES YAZINDUA KINYWAJI KIKALI CHA BAILEYS

By Gadiola Emanuel - 7:33:00 AM

Mkurugenzi wa masoko wa vinywaji vikali kampuni ya EABL Angelique Libese akizungumza wakati wa uzinduzi wa kinywaji cha Baileys uliofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam jana , ambapo wadau na wageni waalikwa mbalimbali walijitokeza katika uzinduzi huo, Baileys ni kinywaji kitakachosambazwa na kuuzwa na kampuni ya boa ya Serengeti Breweriers.
Kulia ni Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano kampuni ya bia ya Serengeti alikuwa ni mmoja wa wageni waliotoa zawadi kwa washindi wa chupa za mvinyo wa kinwaji cha Baileys.

Mwanamke nyonga babu wee si unaona mwenyewe kiuno kinavyokatwa hapo mdau Anita akifanya vitu vyake kwenye steji huku MC maarufu nchini dada Angela Bondo akimtunza baada ya kuvutiwa na uchezaji wake.
Jaquiline Wolper akionyesha makeke katika steji kuonnyesha kwamba siyo mjuzi wa filamu tu hata kucheza anaweza hii ilikuwa katika uzinduzi wa kinywaji cha Baileys katika ukumbi wa Mlimani City.
Wageni waalikwa wakiserebuka na muziki.
Mkurugenzi wa Masoko wa Serengeti Breweriers Ephraim Mafuru kulia akiwa na Meneja Masoko Kampuni hiyo Emillian Rwejuna wakizunguza na wageni walikwa katika hafla hiyo.
Mkurugenzi wa Masoko Serengeti Breweriers Akizungumza katika uzinduzi huo.
Wageni walikwa wakipata kinywaji cha Baileys katika kaunta zilizokuwa zimewekwa kwa ajili ya kuhudumia wageni.
Kulia ni Steven Jacob, Jaquiline Walper na Hatman waigizaji wa filamu nchini.

Wageni waalikwa mbalimbali wakipata kinywaji cha Baileys kama wanavyoonekana.
Mtangazaji wa kipindi cha wanawake EATV Joyce Kiria akihojiwa na mmojawa watamgazaji wa EATV katika uzinduzi huo.
Wageni waalikwa wakipata picha za kumbukumbu katika uzinduzi huo.
Bendi ya Inafrica Band kikitumbuiza katika uzinduzi huo jana.
Mc Angela Bondo akiwa na marafiki zake 
Na Full shangwe blog 

  • Share:

You Might Also Like

0 comments