VIONGOZI WA WIZARA YA HABARI WAMTEMBELEA MAMA MARIA NYERERE, BUTIAMA
By Gadiola Emanuel - 10:42:00 AM


Mtoto
wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Charles Makongoro
Nyerere akitoa historia ya makaburi ya wazazi wa mwalimu Julius Nyerere
yaliyopo mwitongo, Butiama kwa Viongozi waandimizi wa Wizara ya
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo waliokwenda kumjulia hali Mama
Maria Nyerere.

picha na Full shangwe Blog
0 comments