Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria, Katiba na Utawala Mhe. Tundu Lisu akichangia leo wakati kamati hiyo ilipokutana Dar es Salaam kujadili Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011. Picha na Prosper Minja - Bunge Kwa picha zaidi tembelea. Mjumbe wa Kamati ya Sheria, Katiba Utawala Mhe. Andrew Chenge akitoa angalizo na ushauri wa kitaalamu wakati wa...


Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Nehemiah Mchechu akisaini hati za makubaliano na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC,Lawrence Mafuru kuhusu suala la mikopo ya nyumba jijini Da es Salaam leo, Wanaoshuhudia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka na Mwenyekiti wa Bodi ya NHC, Injinia Kesogukewele Msita. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...
















Mmiliki wa Blogu ya mavazi ya 8020 Fashions Shamimu Mwasha kushoto aka Shamimu Zeze pamoja na mgeni rasmi Mbunge wa CCM viti maalum Dar es salaam Agela Kairuki wakizundua nembo ya mavazi ya B2A itakayomilikiwa na Shamimu, wakati wa hafla ya kutimiza miaka 5 ya mtandao wa 8020 Fashions iliyofanyika kwenye ukumbi wa Daimond Jubilee jijini Dar es salaam leo mchana. Tukio hilo...
















Mkurugenzi wa masoko wa vinywaji vikali kampuni ya EABL Angelique Libese akizungumza wakati wa uzinduzi wa kinywaji cha Baileys uliofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam jana , ambapo wadau na wageni waalikwa mbalimbali walijitokeza katika uzinduzi huo, Baileys ni kinywaji kitakachosambazwa na kuuzwa na kampuni ya boa ya Serengeti Breweriers. Kulia ni Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano kampuni ya...
Kikundi kikubwa cha wapiganaji wa Sudan Kusini, kimeshambulia mji katika jimbo la Unity lenye mafuta mengi, na kuuwa watu kama 15. Haijulikani kama wapiganaji hao sasa wanaudhibiti mji wa Mayom. Hapo jana wapiganaji wa Jeshi la Ukombozi wa Sudan Kusini, SSLA, waliwaonya wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa na mashirika ya misaada kuondoka katika jimbo la Unity. Na sasa wanatishia jimbo la jirani la...
Tanzanian President Jakaya Kikwete and his Kenyan counterpart Mwai Kibaki. President Kikwete said his country supports Kenya’s military offensive against Somalia militia Al-Shabaab October 28, 2011. Tanzanian President Jakaya Kikwete has supported Kenya’s military offensive against Somalia militia Al-Shabaab. He said his country backed Kenya's decision to invoke Article 51 of the United Nations Charter to defend its economic and security interests under...







Naibu Waziri wa Maji, Gerson (kushoto) akibadilishana mawazo na aliyekuwa Waziri wa Maji wa kwanza , ambaye pia ni mwanzilishi wa wizara hiyo, Dk. Pius Ng'wandu (kulia) na kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mhandisi Christopher Sayi leo (jana) wakati wa ufungaji wa Sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru ya wizara hiyo. baadhi ya wanachi na watumishi wa Wizara ya Maji wakifuatilia kwa makini maadhimidho ya miaka...
WAZIRI KOMBANI, JAJI WEREMA WAITWA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA LEO
By Gadiola Emanuel - 7:45:00 AM
Waziri wa katiba na Sheria Mhe. Celina Kombani akifafanua Jambo Mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge Katiba, Sheria na Utawala mara baada ya Kuwasilisha baadhi ya mabadiliko katika Muswada huo yaliyoletwa na Serikali. Kamati hiyo ndiyo inayoshughulikia Muswada wa Mabadiliko ya Katiba, kabla haujawasilishwa Bungeni. Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Fredrick Werema akifafanua mbele ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge...
Vikosi vya Kenya Vikosi vya Kenya vimepambana na wanamgambo wa kiislamu wa al-Shabab ndani ya Somalia kwa mara ya kwanza tangu kuvuka mpaka na kuingia nchini humo wiki mbili zilizopita. Msemaji wa jeshi la Kenya Major Emmanuel Chirchir ameiambia BBC kuwa msafara ulishambuliwa kati ya miji ya Tabda na Bilis Qoqani. Kila upande umesema mwenzake alishambuliwa. Major Chirchir alisema kuwa wapiganaji tisa wa...