MBUNIFU WA MAVAZI KHADIJA MWANAMBOKA KAFUNGUA KAMPUNI YA EVENT PLANNING KWAAJILI YA MAKAMPUNI,MASHIRIKA NA WATU BINAFSI, KHADIJA ANAUZOEFU WA KUANDAA EVENTS KUBWA ZA WATU WENGI.. AMBAZO AMEWAHI KUANDAA NI TANZANIA RED RIBBON FASHION GALA,8020 FASHIONS ANNIVERSARY YA MIAKA MITANO,
WOMEN'S CELEBRATION NA UFUNGUZI WA DUKA LA MIMI'S COLLECTION.
ALIZINDUA KAMPUNI YAKE KWA PARTY YA KUSHEREHEKEA MUZIKI WA KITANZANIA -BONGO BLACK BALL TAREHE 26 APRIL 2013 KATIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY
KWA MAWASILIANO:
KHADIJA MWANAMBOKA
0755 551077-0713 551077
TWITTER-@khadijamboka
DECOR...PACO
Mzee Kiki King,kitambaa cheupe kiliusika..
Bofya upate mambo yalivyokuwa siku ya uzinduzi,redcarpet,burudan, Menu....
CHAKULA KILIANDALIWA NA TALMA CATERING.....
REDCARPET...
Mwasiti |
JLO |
Kwa hisani ya 8020 Fashions Blog
0 comments