Airtel Tanzania yazindua michuano ya Airtel Rising Stars 2013
By Gadiola Emanuel - 8:22:00 AM
Mkurugenzi
wa mawasiliano wa Airtel Tanzania Beatrice Singano Mallya akiongea na
waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa progam ya Airtel Rising Stars
2013 uliofanyika katika Ofisi za TFF jijini Dar es Salaam leo , wengine
ni Mkurugenzi wa Michezo Leonard Thadeo(katikati) na Makamu wa Raisi wa
TFF Ramadhani NasibuMkurugenzi
wa Michezo Leonard Thadeo akikazija jambo wakati akiongea na waandishi
wa habari kwenye halfa ya uzinduzi wa program ya Airtel 2013 uliofanyika
katika Ofisi za TFF jijini Dar es Salaam leo kushoto ni Mkurugenzi wa
mawasiliano wa Airtel Tanzania Beatrice Singano Mallya, Makamu wa Raisi
wa TFF Ramadhani Nasibu na Kaimu katibu mkuu wa TFF Sunday KayuniBaadhi
ya wachezaji wa Airtel Rising stars wa mwaka 2012 wakisalimiana na
Mkurugenzi wa Michezo Leonard Thadeo, Makamu wa Raisi wa TFF Ramadhani
Nasibu na Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Tanzania Beatrice Singano
Mallya wakati wa uzinduzi wa progam ya Airtel Rising Stars 2013
uliofanyika katika Ofisi za TFF jijini Dar es Salaam leoWakizindua
program ya Airtel Rising Stars 2013 Mkurugenzi wa Michezo Leonard
Thadeo, Makamu wa Raisi wa TFF Ramadhani Nasibu na Mkurugenzi wa
mawasiliano wa Airtel Tanzania Beatrice Singano Mallya, Kaimu katibu
mkuu wa TFF Sunday Kayuni na mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu Dar
es Saalam Almasi Kasongo wakati wa uzinduzi wa Airtel Rising Stars 2013Mkurugenzi
wa mawasiliano wa Airtel Tanzania Beatrice Singano Mallya, Mkurugenzi
wa Michezo Leonard Thadeo, Makamu wa Raisi wa TFF Ramadhani Nasibu,
Kaimu katibu mkuu wa TFF Sunday Kayuni wakiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya wachezaji wa Airtel Rising stars wa mwaka 2012
0 comments