LIKE A FATHER ,LIKE A SON; GIDABUDAY'S FOOTSTEPS

By Gadiola Emanuel - 3:54:00 AM


Mwanaharakati wa Michezo Tanzania Bw. Wilhelm Gidabuday afurahia ushindi wa mwanae (Sydney Wilhelm Gidabuday), ambae ni mzaliwa wa marekani kwa kushinda mbio za "3200m CIF Championship " huko California ,Marekani.
Huyu ndiye Sydney Wilhelm Gidabuday ,mtoto wa Mwanaharati na Mzalendo wa Michezo yote Tanzania  Bw. Wilhelm Gidabuday ,akijiandaa kabla ya kukimbia mbio za "3200 CIF Championship, Carlifornia USA)
Kijana Sydney Wilhelm Gidabuday mmarekani mwenye asili ya kitanzania na mtoto wa mwanaharakati wa mchezo wa riadha nchini Tanzania "Wilhelm Gidabuday" anaendelea kufuata nyayo za baba yake baada ya kutwaa ushindi katika mashindano ya riadha yaliyofanyika huko California, nchini Marekani.
SYDNEY WILHELM GIDABUDAY
Sydney Gidabuday anayetimiza miaka 18 mwakani ,akiwa ni raia wa marekani huko California, anazidi kukamata tuzo mbali mbali za mashindano ya riadha huko California, ambapo mwaka 1994 baba yake ambae ni mtanzania na mzalendo wa mchezo wa riadha alishikilia ubingwa wa riadha huko California Marekani.
SYDNEY WILHELM GIDABUDAY  - akiongoza mashindano ya riadha ya 32OOM CIF CHAMPIONSHIPS; huko California Marekani
 

Division 2: From fourth place in league to CIF champion two weeks later? Oh my! El Modena's Sydney Gidabuday, son of former 5,000m/10,000 open-level talent Wilhelm Gidabuday, only managed fourth in the loaded Century League Finals meet. But running relaxed here, Sydney won in a surprising 4:12.43, a seasonal best by over five seconds! Sydney edged veteran stars Bryan Fernandez (4:12.62) of Dos Pueblos and Garrett Corcoran of Villa Park (4:12.73). – Division 1: Forget any dope sheets or PR lists, Juan Gonzalez is a very dangerous talent and him winning here was expected. Taking down another star (Vista Murrieta's Porter Reddish) by more than two seconds. Gonzalez is expected to double back in the 3200 later in the meet. Stockdale's Blake Haney has the top time in the state in both the 1600 and 3200 and says he willm attempt the double in Clovis, but a fresh Gonzalez (if he scratches the 1600) should be his most serious threat at that state meet, assuming all goes well for both between now and then. Source:http://www.prepcaltrack.com

  • Share:

You Might Also Like

1 comments