MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEHA WATUA JIJINI DAR

By Gadiola Emanuel - 8:43:00 AM

Mwili wa Marehemu Albert Mangweha Ukibebwa na baadhi ya wasanii wa muziki hapa Tanzania ukitoka uwanja wa ndege jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Wasanii waliokuja kuu pokea mwili wa Albert Mangweha
Maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliokuja uwanja wa ndege kuupokea mwili wa Marehemu Albrert Mangweha
Jeneza alilomo Marehemu Abert Mangweha .Picha kwa hisani ya Dj Fetty Blog

  • Share:

You Might Also Like

0 comments