MWANADADA P - CULTURE FT. JCB - "LIFE CAN BE"

By Gadiola Emanuel - 12:25:00 AM


Ni mkono wa Umbwa aka Chindo Man from Watengwa Family na Vocals zikiwa chini ya Defxtro wa Noizmekah Productions na humu wanapita Sister P-Culture na JCB.

Ngoma inakwenda kwa Jina Life Can Be, ni inspirational hiphop joint yenye mistari ya kuelimisha jamii, Pata kuusikiliza HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania.

  • Share:

You Might Also Like

0 comments