DIAMOND PLATNUMZ AONGEA YAKE YA MOYONI

By Gadiola Emanuel - 5:27:00 AM

Skuzote ishi ukikumbuka, Maisha ni Vita, vita ambayo mwisho wake ni siku ya wewe kuingia kaburini... hivyo haupaswi kuchoka wala Kukata tamaa...Heshima, Juhudi na Maombi ndio nguzo pekee zitazokusaidia wewe kushinda Vita hii... tambua Mwenyezi Mungu ndiye Muweza na Mpaganga wa yote...!kutoka kwenye mtandao wa facebook.

  • Share:

You Might Also Like

0 comments