DIAMOND,MADEE, RICH MAVOKO KUPAMBA TAMASHA LA MINI KABANG!!! LA TIGO JIJINI MWANZA
By Gadiola Emanuel - 9:06:00 AM

Meneja Chapa wa Tigo Tanzania Bw. William Mpinga akiongea na waandishi wa habari kuhusu tamasha kubwa la Tigo Mini Kabaang litakalofanyika siku ya jumapili hii bure kabisa katika viwanja vya CCM Kirumba jijini Mwanza, kushoto msanii Diamond Platnumz na kulia msanii Madee ambao watatoa shoo siku hiyo na wasanii wengine.




0 comments