Watu Maarufu na Tattoo zao

By Gadiola Emanuel - 9:27:00 AM



 Mwanadada Miley Cyrus ambaye ni nyota wa filamu duniani, yeye aliamua kujichora tattoo ya siasa za kilibelari- kama nukuu kutoka kwa rais "Roosevelt".Siyokwamba mwanadada huyu hajui anayemfuata bali anajua. Maneno yeyewe ndio haya....“So that his place shall never be with those cold and timid souls who knew neither victory nor defeat,”.

 Rihanna ni msanii ambaye si mgeni sana katika wino wa kucholea tattoo, na kama wino ungekuwa mtu basi ungekua ni mke na mume. Hizi ndizo tattoo alizochora Rihanna zikiwemo mafuvu, nyota na mauwa ya ki-ribelali .... "Stars swirling down her back, skulls, a Pisces sign, a sanskrit prayer, a tribal piece on her hand, two finger tattoos, the birthday of her best friend and manager Melissa Forde in Roman numerals, a gun, a rebellious flower and a motivational piece of script which reads ‘Never A Failure, Always A Less’ backwards on her shoulder.

 Nyota wa Spice girlz a.k.a Mrs Beckham  yeye ana tattoo tofauti na wenzake inayoshuka chini ya uti wa mgongo.Tattoo ya nyota huyu maarufu ni shairi kutoka katika biblia inalofahamika kama "Song of Solomon 6:3.

 Huyu jamaa ni msanii wa muziki wa pop, yeye ameamua kuchora tattoo yake kuonyesha mapenzi katika muziki wa pop, coz anasema nastahili kuwa mwanamuziki wa pop (inamaana mtukama huyu sii rahisi kubadilika).

Justin Bierber- homa ya kinadada wengi duniani, yeye aliamua kutupia tu tattoo ambayo sii rahisi kwa mtu kuiona au kuitambua, mpaka uwe karibu yake sana.

  • Share:

You Might Also Like

0 comments