Redds miss kanda ya temeke Edda Sylivester katikati na mshindi wa pili Catherine Masumbigana kushoto na Flaviana Maeda kulia mara walipotangazwa kuwa Redds Miss Kanda ya Temeke kwenye fainali iliyofanyika kwenye ukumbi wa PTA Hall usiku wa kuamkia Leo
Warembo wa Miss Redds Kigamboni walioingia Tano Bora wakionyesha Tabasamu zao.
0 comments