FIESTA YA MBEYA 2012 : BONGE LA UTITIRI WA WATU

By Gadiola Emanuel - 6:47:00 AM


MWANA DADA LINAH
 Wasanii wa Filamu hapa nchini Aunt Ezekiel,Wema pamoja na Shilole wakiwasikiliza mashabiki wao wanataka nini.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Diamond akiwaimbisha mashabiki na wapenzi wa muziki huo waliojitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta,kwenye uwanja wa Sokoine,mkoani Mbeya.
 Shemejiii....Wema Sepetu akiwachetua kidogo wapenzi wa mambo ya filamu.
BARNABA a.k.a Baba Steve
BI. MADAHA NA HAMZA
Watu kibao ndani ya sokoine usiku wa kuamkia leo.
Mmoja wa wasanii mahiri wanaotikisa kwenye anga ya muziki wa bongofleva hasa katika miondoko ya R&B,Ben Paul akikamua vilivyo jukwaani.
Pichani kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Mbeya  Mh. Dkt. Norman Sigallah akimtaja mshindi wa gari aina ya Vitz inayotolewa na kampuni ya Push Mobile,anayeshuhudia ni Meneja masoko wa Push Mobile Rugambo Rodney na kulia ni Chiku Saleh kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha ,ambapo  katika bahati nasibu hiyo iliyochezeshwa,aliyeibuka mshindi ni   Eva B Mgovani. 
 ilikua full kujiachia ndani ya uwanja wa sokoine usiku huu.
Pichani kati ni Mkuu wa wilaya ya Mbeya  Mh. Dkt. Norman Sigallah akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa vipindi wa Clouds FM,Bw. Sebastian Maganga kushoto na mdau mwingine.
RACHEL
 MASHABIKI FULL SHANGWE
LINEX
Stamina akiamsha kitim kitim kwa wakazi wa mji wa Mbeya usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta.
Source:mbeya yetu blog

  • Share:

You Might Also Like

0 comments