MAONYESHO YA SARAKASI YA MAMA AFRIKA YAFANYIKA NEW WORLD CINEMA JIJINI DAR ES SALAAM

By Gadiola Emanuel - 7:55:00 AM



Pichani Juu na Chini ni mfululizo wa maonyesho ya sarakasi ya 'Mama Africa Circus'.
 
  Picha Juu na Chini ni baadhi ya wadau walioshiriki maonyesho hayo wakifurahia. 
 
 "Karibuni watanzania wote muone sarakasi na utamaduni wa kitanzania".
 
 Trade Marketing Supervisor wa kampuni ya simu za mkononi ya TIGO ambao ndio wadhamini wakuu wa maonyesho ya 'Sarakasi ya Mama Afrika' yanayoendelea katika viwanja vya New World Cinema Bw. Gaudens Mushi akiwakaribisha wageni waliohudhudhuria onyesho hilo. kushoto ni Afisa Mahusiano wa TIGO.

  • Share:

You Might Also Like

0 comments