FAINALI ZA MECHI ZA NETIBOLI DARAJA LA KWANZA ZAMALIZIKA JIJINI MBEYA, MGENI RASMI ALIKUWA MH. NAIBU WAZIRI WA ELIMU PHILIPO MLUGO
By Gadiola Emanuel - 6:32:00 AM

Mgeni Rasmi Mh. Naibu waziri wa elimu aliye vaa shati jekundu akikaribishwa uwanjani

Muheshimiwa Naibu Waziri wa elimu wa kwanza kulia akitazama michezo hiyo pamoja na Mama Bayi , katika mechi kati ya JKT star na timu ya Mbweni wakitafuta mshindi wa tatu ambapo mshindi wa kwanza ilikuwa timu ya Filbet Bayi

Mechi zinaendelea



Mgeni Rasmi akikagua Timu

Mwanaidi Hassani wa kwanza kushoto akiwa na mgeni rasmi

Mgeni Rasmi akiongea na Timu zote zilizo shiriki mashindano hayo
PICHA ZOTE NA MBEYA TETU
0 comments