Pichani Juu na Chini ni mfululizo wa maonyesho ya sarakasi ya 'Mama Africa Circus'.
Picha Juu na Chini ni baadhi ya wadau walioshiriki maonyesho hayo wakifurahia.
"Karibuni watanzania wote muone sarakasi na utamaduni wa kitanzania".
Trade Marketing Supervisor wa kampuni ya simu za mkononi ya TIGO ambao ndio wadhamini wakuu wa maonyesho ya 'Sarakasi ya Mama Afrika' yanayoendelea katika viwanja vya New World Cinema Bw. Gaudens Mushi akiwakaribisha wageni waliohudhudhuria onyesho hilo. kushoto ni Afisa Mahusiano wa TIGO.
Meneja Uhusiano wa Multichoice Tanzania Barbara Kambogi akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari waliohudhuria uzinduzi huo kuwa Super Sport wakishirikiana na TFF wapo hapa nchini na kwa mara ya kwanza wanaonyesha mechi za Ligi ikiwemo timu ambazo hata siku moja hazijawahi kuonekana kwenye Chaneli ya Super Sport na kuwataka wachezaji wa timu hizo kuonyesha uwezo wao kwa sababu ni fursa ya pekee kuonekana katika nyanja ya Kimataifa. Aidha amewataka Watanzania ambao hawajaunganishwa na DStv wafanye hima kununua ving'amuzi ili waweze kushuhudia mechi hizo pamoja na chaneli nyinginezo zinazopatikana katika DStv.
Meneja Mkuu wa Multichoice Tanzania Bw. Peter Fauel akifafanua ujio wa Super Sport nchini Tanzania na kuipongeza TFF kwa kuonyesha ushirikiano na kuwa Chaneli hiyo itaonyesha mechi tano za Ligi ya Tanzania kuanzia leo Ijumaa Septemba 28 hadi Jumatano Oktoba 3 mwaka 2012.
Mkuu wa Super Sport barani Afrika Bw. Andre Venter akielezea furaha yake kuja Tanzania na kupata fursa ya kulitangaza soka la Tanzania kimataifa kupitia chaneli ya Super Sport amesema chaneli hiyo imechafanya kazi katika nchi za Kenya na Uganda na Sasa ni wakati wa Tanzania kuonyesha kiwango chake cha soka Kimataifa.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa miguu nchini (TFF) Bw. Leordiga Tenga akitoa nasaha zake wakati wa uzinduzi wa wiki ya Soka Tanzania ambapo amevitaka vilabu vitakavyopata bahati ya kuonekana katika chaneli hiyo kuonyesha kiwango cha soka la Tanzania na kuzingatia nidhamu haswa mechi ya Watani wa Jadi Yanga na Simba ambao wanatambulika barani Afrika kama timu zenye upinzani mkali.
Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania Bi. Furaha Samalu akifurahi jambo na watangazaji wa kipindi cha Africa Soccer Show wakati wa halfa hiyo.
Meneja Mkuu wa Multichoice Tanzania Bw. Peter Fauel akisalimiana na baadhi ya wageni waalikwa katika hafla fupi ya uzinduzi wa wiki Soka Tanzania iliyofanyika jijini Dar kwenye Hoteli ya Southern Sun.
Dada Levina kutoka Multichoice Tanzania anayetazama kamera akifurahi jambo na wadau.
Meneja fedha wa Multichoice Tanzania Bw. Senguti (kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Multichoice Tanzania Bw. Peter Fauel.
Baadhi ya Wadau wa michezo wakipata viburidisho wakati wa uzinduzi wa wiki ya soka Tanzania.
Mkurugenzi Mkuu wa Multichoice Tanzania Bw. Peter Fauel (katikati) katika tete- a -tete na Rais wa TFF Bw. Leordiga Tenga na Mkuu wa Super Sport Afrika Bw. Andre Venter.
Mtangazaji wa Jahazi ya CLOUDS FM Arnold Kayanda (wa pili kulia) na wadau wa tasnia ya michezo wakishow love mbele ya Camera yetu.
Barbara Kambogi akibadilishana mawazo na waandishi wa habari waliohudhuria uzinduzi huo.
Crew nzima ya Super Sport iliyotua nchini kwa ajili ya wiki ya Soka Tanzania.
Kipindi cha Africa Soccer Show kwa mara ya kwanza kilifanyika LIVE nchini Tanzania. Pichani ni Watangazaji wakifanya mahojiano na Katibu Mkuu wa TFF Bw. Angetile Oseah (katikati).
Wasanii wa Filamu hapa nchini Aunt Ezekiel,Wema pamoja na Shilole wakiwasikiliza mashabiki wao wanataka nini.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Diamond akiwaimbisha mashabiki na wapenzi wa muziki huo waliojitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta,kwenye uwanja wa Sokoine,mkoani Mbeya.
Shemejiii....Wema Sepetu akiwachetua kidogo wapenzi wa mambo ya filamu.
BARNABA a.k.a Baba Steve
BI. MADAHA NA HAMZA
Watu kibao ndani ya sokoine usiku wa kuamkia leo.
Mmoja wa wasanii mahiri wanaotikisa kwenye anga ya muziki wa bongofleva hasa katika miondoko ya R&B,Ben Paul akikamua vilivyo jukwaani.
Pichani kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Mbeya Mh. Dkt. Norman Sigallah akimtaja mshindi wa gari aina ya Vitz inayotolewa na kampuni ya Push Mobile,anayeshuhudia ni Meneja masoko wa Push Mobile Rugambo Rodney na kulia ni Chiku Saleh kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha ,ambapo katika bahati nasibu hiyo iliyochezeshwa,aliyeibuka mshindi ni Eva B Mgovani.
ilikua full kujiachia ndani ya uwanja wa sokoine usiku huu.
Pichani kati ni Mkuu wa wilaya ya Mbeya Mh. Dkt. Norman Sigallah akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa vipindi wa Clouds FM,Bw. Sebastian Maganga kushoto na mdau mwingine.
RACHEL
MASHABIKI FULL SHANGWE
LINEX
Stamina akiamsha kitim kitim kwa wakazi wa mji wa Mbeya usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta.
Mgeni Rasmi Mh. Naibu waziri wa elimu aliye vaa shati jekundu akikaribishwa uwanjani
Muheshimiwa Naibu Waziri wa elimu wa kwanza kulia akitazama michezo hiyo pamoja na Mama Bayi , katika mechi kati ya JKT star na timu ya Mbweni wakitafuta mshindi wa tatu ambapo mshindi wa kwanza ilikuwa timu ya Filbet Bayi
Mechi zinaendelea
Mgeni Rasmi akikagua Timu
Mwanaidi Hassani wa kwanza kushoto akiwa na mgeni rasmi
Mgeni Rasmi akiongea na Timu zote zilizo shiriki mashindano hayo
Mwanadada Miley Cyrus ambaye ni nyota wa filamu duniani, yeye aliamua kujichora tattoo ya siasa za kilibelari- kama nukuu kutoka kwa rais "Roosevelt".Siyokwamba mwanadada huyu hajui anayemfuata bali anajua. Maneno yeyewe ndio haya....“So that his place shall never be with those cold and timid souls who knew neither victory nor defeat,”.
Rihanna ni msanii ambaye si mgeni sana katika wino wa kucholea tattoo, na kama wino ungekuwa mtu basi ungekua ni mke na mume. Hizi ndizo tattoo alizochora Rihanna zikiwemo mafuvu, nyota na mauwa ya ki-ribelali .... "Stars swirling down her back, skulls, a Pisces sign, a sanskrit prayer, a tribal piece on her hand, two finger tattoos, the birthday of her best friend and manager Melissa Forde in Roman numerals, a gun, a rebellious flower and a motivational piece of script which reads ‘Never A Failure, Always A Less’ backwards on her shoulder.
Nyota wa Spice girlz a.k.a Mrs Beckham yeye ana tattoo tofauti na wenzake inayoshuka chini ya uti wa mgongo.Tattoo ya nyota huyu maarufu ni shairi kutoka katika biblia inalofahamika kama "Song of Solomon 6:3.
Huyu jamaa ni msanii wa muziki wa pop, yeye ameamua kuchora tattoo yake kuonyesha mapenzi katika muziki wa pop, coz anasema nastahili kuwa mwanamuziki wa pop (inamaana mtukama huyu sii rahisi kubadilika).
Justin Bierber- homa ya kinadada wengi duniani, yeye aliamua kutupia tu tattoo ambayo sii rahisi kwa mtu kuiona au kuitambua, mpaka uwe karibu yake sana.