­
­

UFUNGUZI WA FIESTA SERENGETI 2011 ARUSHA

By Gadiola Emanuel - 12:01:00 PM

KUMEFANYIKA UFUNGUZI WA FIESTA ,MSIMU WA DHAHABU HAPA ARUSHA KATIKA ROUND ABOUT YA MNARA WA MWENGE HAPA JIJINI ARUSHA,NA KUUDHURIWA NA WATU KIBAO.

UFUNGUZI HUO ULIWAKILISHWA NA MTANGAZAJI WA CLOUDSFM DJ FETTY NA JOPO ZIMA LA CLOUDSFM NA CLOUDS TV,NA WACHEZA SHOW WA CONTAGIOUS ARUSHA.

KI UKWEWLI ILIKUA BOMBA SANA....NITAWALETEA PICHA MUDA WOWOTE BCOZ SIJUI NANI KANICHUKULIA NYAYA ZA KUTOA PICHA TOKA KWENYE KAMERA YANGU.
BUT ALL IN ALL ,KWA KWELI FIESTA LA MSIMU HUU UTAKUWA MKALI MBAYAAAAA.......YAANI HAINA HATA MAJOTROOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO..........

  • Share:

You Might Also Like

0 comments