Manchester United have confirmed the signing of goalkeeper David de Gea from Atletico Madrid on a five-year deal. The Spain Under-21 international, 20, underwent a medical at Old Trafford on Monday and will finalise what is thought to be an £18.9m move on Friday. "I feel very proud and I can't wait to start playing here," De Gea told MUTV. "When a club...
Waziri wa Fedha wa Ufaransa Christine Lagarde ameteuliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa shirika la fedha duniani IMF.Waziri wa Fedha wa Ufaransa Christine Lagarde ameteuliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa shirika la fedha duniani IMF.Kufuatia uteuzi huo Ufaransa itakuwa imeshikilia kiti hicho kwa miaka 26 kati ya miaka 33 iliyopita. Christine Lagarde mwenye umri wa miaka 55, alikuwa mwanamke wa kwanza kuteuliwa waziri wa fedha...
Mchungaji akihubiri kwa moyo ulio wa unyenyekevu.....kama una mgonjwa wako mwenye tatizo lolote usisite kumleta CALVARY ASSEMBLIES OF GOD SOMBETINI-ARUSHA,APATE OPERATION NA KURUDIA HALI YAKE UPYAAAAAAAAAA..... ...
A former Rwandan women's minister has been sentenced to life in prison for her role in the genocide and the rape of Tutsi women and girls. Pauline Nyiramasuhuko, 65, is the first woman to be convicted of genocide by an international court. She was found guilty, along with her son and four other former officials, after a 10-year trial. Some 800,000 ethnic Tutsis...
TUTAKUKUMBUKA MAMA YETU DAIMA NA MILELE. ...
NA SHOW LOVE KWA MA BESTEEEE.....HABARI ZENYUU BANA.....HAINA HATA MAJOTROOOOOOOOO.........!!!!!!!!!!!!BASSSSS... ...
First lady Michelle Obama met with former South African President Nelson Mandela on Tuesday as part of a weeklong visit to the continent, according to a spokeswoman for the first lady. Accompanying her on her visit with Mandela were a nephew, Avery Robinson, 19, and a niece, Leslie Robinson, 15, children of Obama's brother, Craig Robinson, according to Semonti Stephens, deputy communications director...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeingia kwenye mgogoro baada ya baadhi ya wabunge kupandwa na hasira dhidi ya wenzao wanaoendesha kampeni ya kutaka posho za vikao kwa wabunge ziondolewe.Mkwaruzano huo iliibuka ndani ya kikao cha wabunge wa Kambi ya Upinzani Bungeni inayoongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe. Kikao hicho kiliitishwa na kambi hiyyo kwa lengo...
Waziri Mkuu Mstaafu, John Samuel Malecela yupo taabani, amefanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo. Spika wa Bunge la Jmhuri ya Muungano wa Tanzania, Anna Makinda aliwatangazia wabunge leo kabla ya kuahirisha kikao cha asubuhi kuwa Malecela ni mgonjwa. Alisema, Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela haonekani bungeni kwa sababu Mzee Malecela ni mgonjwa. Kilango ni mke wa ndoa wa mzee Malecela. “Waheshimiwa wabunge...
Anapenda sana mambo ya uanamitindo, ila ajapata bado mtu wa kumtoa...ukitaka kumwezesha aingie kwenye uanamitindo wasiliana na manager wake kwa simu namba +255 715 643 633. ...
She is Lecturer in UNIVERSITY OF DODOMA.....ALIFUNGUKA JANA KUHUSU MIGOMO INAYOTOKEA CHUONI HAPO,KWAMBA NI UONGOZI MBAYA WA MAKAMU WA CHUO HICHO ALIEFAHAMIKA KWA JINA MOJA LA Mlacha. ...
Girls have the tendency to spend hours and even days deciding what they should wear on the upcoming date. Dressing up is easily their worst dilemma in life and many look towards attaining nirvana just to get rid of the confusion resulting from deciding what to wear on a date. There a so many options available to girls when it comes to the...
First dates are fun and you should learn to enjoy yourself instead of worrying too much about things that will ultimately not matter. When you go to a date with the right person things will automatically fall in place. You don’t have to do a thing. It is natural to be nervous when two people go out together for the very first time....
1.) Accept the end - Once the break up happens, you need to put it behind you and cope with the negative feelings that well inside you. The most important thing is to accept it. Do not cling onto the hope that a miracle would happen and things would go back to normal. Do not hope that the break-up would be reversed by...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limekubali kuwa mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Kagame yanayoshirikisha klabu bingwa za nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA). Klabu 12 zitashiriki katika mashindano hayo yatakayofanyika nchini kuanzia Juni 25 hadi Julai 9 mwaka huu. Tumechukua uamuzi huu mgumu wa kuandaa mashindano haya kwa lengo la kuyaokoa....
Idadi ya watu waliofariki kufuatia kuporomoka kwa jengo la orofa sita jijini Nairobi sasa imefikia watu watatu. Watu wengine wapatao 14 wangali wamefunikwa na vifusi vya jengo hilo ambalo lilikuwa linaendelea kujengwa. Wote watatu waliofariki na hali kadhalika wale ambao wangali wamefunikwa na vifusi walikuwa ni mafundi wa jengo hilo. Afisa mkuu wa mawasiliano wa shirika la msalaba mwekundu la Kenya, Bi Nelly...
kaimu kamanda wa polisi wa mkoa wa Arusha Akili Mpwapwa akionyesha silaha ambazo majambazi hao walikutwa nazo WATU watatu ambao ni majambazi wameuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kuwapora wafanyabaishara watano waliokuwa wakielekea kwenye mnada wa soko la ng'ombe uliopo Meserani wilayani Monduli. Majambazi hao wakiwa na silaha za moto, walikuwa wakitumia gari lenye namba T785 ACM aina ya Toyota Mark...
VIJANA WANAKAMUA KWA KWENDA FORWARD....HAINA MAJOTROOOOO ...
...
VIJANA WA KIKAMUA KI-SERENGETI FIESTA 10....MNARA WA MWNENGE JOMBAA...YAANI HAINA HATA MAJOTROOOOO... ...
HII NI SIKU NILIOFURAHI SANA ...KUONANA MACHO KWA MACHO NA DJ FETTY....FE EH..THANX 4 UR COMPANY ...
Blindfold her Sexual pleasure has many dimensions, but the most important sexual organ we have is our brain. When one sense is hindered, our other senses -- via the brain -- clamor to compensate. For example, a deaf person has increased sensory awareness -- sight, smell, touch, and vibrations. For No. 10 entry on our 10 tips for better sex guide, we're telling...
Everyone wants to know how to make love the right way and the real art behind it. Love making does not only involve sexual pleasure but also a happier mood and a stronger relationship in the long term. In order to benefit from love making both partners should derive mutual satisfaction from the act which implies both partners should reach ultimate orgasm. You...
Love is indeed a tough business and it's very hard to make a girl fall in love with you. Love is much more intense and involves deep feelings and emotions. Girls normally tend to be highly demanding when it comes to the issue of love. Girls are always looking for that perfect one who would love her and keep her happy for the...
Chairman Symbion Power Holdings Lord Richard Westbury MBE Lord Westbury had a distinguished military career as an Officer in the Scotts Guards and for the British Special Air Services (SAS). A pioneer of the security industry, Lord Westbury was formerly the Deputy Chief Executive of The Leadership Trust and the Chief Executive Officer of Defense Systems Limited (DSL), one of the earliest and...
HOTUBA YA IGP KUHUSU MPANGO WA KUWAJENGEA UWEZO VIONGOZI WA DINI KUHUSU MIUNDOMBINU YA AMANI
By Gadiola Emanuel - 2:56:00 PM
NDUGU ZANGU VIONGOZI WA DINI, WAANDISHI WA HABARI, ITIFAKI IMEZINGATIWA. 1. Awali ya yote napenda niwashukuru kwa kuitikia wito wangu na kukubali kuacha kazi zenu zingine za kulitumikia Taifa, ili hatimae tuweze kukaa pamoja na kubadilishana mawazo tukilenga jambo muhimu, ambalo ni umuhimu wa Jamii yetu kuwa na Utii wa Sheria bila Shuruti. 2. Uhuru wa kuabudu unabainishwa, kutambuliwa na kulindwa kwa mujibu...
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe, ameachiwa huru kwa dhamana na mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha mara baada ya kuonekana kuwa hakuwa na kosa lolote la kujibu mahakamani hapo. Pia mdhamini wa awali wa mwenyekiti huyo Julius Margwe amekataliwa na mahakama hiyo kwa kushidwa kutii Mahakama na kumtaka mthamini mungine ambaye angeweza kufuata sheria za mahakama bila kuzikiuka. Mahakama...
KUMEFANYIKA UFUNGUZI WA FIESTA ,MSIMU WA DHAHABU HAPA ARUSHA KATIKA ROUND ABOUT YA MNARA WA MWENGE HAPA JIJINI ARUSHA,NA KUUDHURIWA NA WATU KIBAO. UFUNGUZI HUO ULIWAKILISHWA NA MTANGAZAJI WA CLOUDSFM DJ FETTY NA JOPO ZIMA LA CLOUDSFM NA CLOUDS TV,NA WACHEZA SHOW WA CONTAGIOUS ARUSHA. KI UKWEWLI ILIKUA BOMBA SANA....NITAWALETEA PICHA MUDA WOWOTE BCOZ SIJUI NANI KANICHUKULIA NYAYA ZA KUTOA PICHA TOKA KWENYE...
Scholes hangs up his boots Paul Scholes has decided it is time for him to hang up his boots and retire from playing football. Paul was part of the new wave of talent that came through to United's first team during the mid-90's. He scored twice on his debut in the League Cup at Port Vale in the 1994/95 season and since then...
Mtu mmoja anaesadikiwa kuwa ni jambazi aliyetambulika kwa jina la Roberty Maji(35), mkazi wa Mbuguni amefariki dunia mara baada ya kupigwa na wananchi wenye hasira kali katika eneo la standi ya mabasi madogo ya sanawari mjini hapa. Akithibitisha kuuwawa kwa jambazi hilo, kamanda wa polisi wa mkoa wa Arusha Thobias Andengenye alisema kuwa tukio hilo lilitokea May 28 mwaka huu majira ya saa...
HONGERA SANA BRO ....NAAHIDI KUFUATA NYAYO ZAKO. ...