PICTUREZZZ: MWANAMUZIKI H. BABA ASHEHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA FAMILIA YAKE

By Gadiola Emanuel - 12:37:00 AM



 IMG-20140115-WA0071 IMG-20140115-WA0072 IMG-20140115-WA0073
Jana tarehe 16 mtu mzima H.Baba msanii kutoka kule Mwanza alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa na familia yake nikimaanisha mke wake na mtoto wao mpya anaitwa Tanzanite pamoja na mama mzazi wa HBaba na wadogo zake wa mwisho. Hizi ni baadhi ya picha tu wakiwa pamoja wakila keki kwa pamoja. Kwa picha zaidi bofya hapa >>>

  • Share:

You Might Also Like

0 comments