MUSIC BAND : SKYLIGHT BAND WALIVYOFUNIKA JIJI LA MWANZA, NA KUSHEHEREKEA BIRTHDAY YA SEBASTIAN NDEGE

By Gadiola Emanuel - 1:51:00 AM

DSC_0225

Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa wakazi wa Mwanza ndani ya Gold Crest Hotel kwenye usiku maalum kwa wakazi wa Mwanza kusherekea.
DSC_0158
Pichani juu na chini Mama Amanda pamoja na Eddie wakiburudika na burudani ya Skylight Band.
DSC_0144
Shabiki wa Skylight Band akitunza mijihela kwa waimbaji wa band hiyo wakati wa kusheherekea mwaka mpya ndani ya hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.
DSC_0151
Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao.
DSC_0179
Skylight Band waliweka historia jijini Mwanza 2013-2014.
DSC_0164
Rappa Joniko Flower akitoa burudani kwa wakazi wa Mwanza.
DSC_0196
Mary Lucos akiimba na kucheza na mashabiki wake.
DSC_0242
Ilikuwa ni Surprise ilipotimia saa sita kamili kuamkia tarehe 2/1/2014 alizaliwa mtoto aliyeitwa Dr. Sebastian Ndege....Pichani ni Mama Amanda pamoja na Justine Ndege wakifungua Champagne kwa ajili ya kumpongeza Dr. Sebastian Ndege.
DSC_0243
Bila kutegemea Dr. Sebastian Ndege alianza kuogeshwa maji na marafiki pamoja na mashabiki wa Skylight Band.
DSC_0244
Marafiki wakiendelea kumwogesha......!!!
DSC_0246
alijitahidi kukwepa lakini wapi....ilishindikana.
DSC_0247
Meneja wa Kinywaji cha K-Vant Bw. James akiendelea kumimina maji kwa swahiba wake a.k.a JEMBE.
DSC_0252
Marafiki wakimpongeza JEMBE.
DSC_0323
Dr. Sebastian Ndege a.k.a JEMBE akipata Ukodak na marafiki ndani ya Gold Crest Hotel.
DSC_0265
Brothers for life........Dr. Sebastian Ndege a.k.a JEMBE akijaribu kumzuia mdogo wake Justine Ndege kutaja majina yake ya Utotoni ikiwa ni kumbukumbu yake ya kuzaliwa kwenye usiku maalum wa kusheherekea mwaka kwa wakazi wa Mwanza ndani ya Gold Crest Hotel.
DSC_0291
Justine Ndege akitoa nenola shukrani kwa mashabiki wa Skylight Band wa jijini Mwanza na kuwashukuru kwa kuoyesha ushirikiano na kuikubali Band hiyo ambapo pia amewaahidi kuendelea kuwaletea burudani hiyo ndani ya jiji hilo. Na G-sengo Blog

  • Share:

You Might Also Like

0 comments