THE AFRICAN BAND :FFU WAFANYA KWELI KATIKA MJI WA BREMEN, UJERUMANI

By Gadiola Emanuel - 2:37:00 AM

fan wa ngoma africa band akisainiwa autograph katika CD na Kamanda Ras Makunja.
FFU wa Ngoma Africa band na mitutu yao wakishambulia mjini Bremen
Flora Williams na Jessy Oyah waimbaji wakike wa ngoma afrika band kazin
Full muzuka Ngoma Africa Band Live bila chenga Jiji la Bremen, Ujerumani
Glory Mndeke mwimbaji Rapa wa Ngoma Africa band.
hili ndilo jengo la รœbersee-Museum Bremen,lililotingishwa na FFU.
kamanda Ras Makunja akiwa katika gari maalumu akiwapungia mkono wakazi wa bremen.
Ras Makunja FFU katika gwaride Bremen, Ujarumani. Picha Zaidi Bofya Hapa >>>

  • Share:

You Might Also Like

0 comments