DIAMOND AKIWAFANYIA INTERVIEW VIJANA

By Gadiola Emanuel - 4:09:00 AM


 Siku ya jana tulifanya zoezi la kuwafanyia interview

 baadhi ya watu waliotuma maombi yao kwa

 mujibu wa ,tangazo la kazi nilillolitoa
                                     juzi,mwitikio

 wa watu ulikuwa mkubwa,watu waliotuma

 email zao pamoja simu,kiasi ilituwia vigumu 

kuwataka wote waje kwenye interview,ilitubidi

 tuchague baadhi ya watu ambao tulihisi wanaweza

 kukidhi sifa tulizozihitaji ingawa nao pia tulipata

 changamoto ya wengi wao kuja pasipo kuzingatia maelekezo 

 na maagizo ya tangazo lilivyotaka,hivyo jana 

nikishilikiana na wataalamu wa hizo sekta tulisaili

 na mwisho wa siku tutachukua wale wenye viwango

 tunavyovihitaji na kuungana na team ya WCB-WASAFI,.....

Ahsanteni sana.





 Usaili kwa vitendo ndiyo kitu tulichokizingatia zaidi......

 Tukiangalia kazi za mmoja ya watu tuliowafanyia usaili



  • Share:

You Might Also Like

0 comments