MATUKIO MBALI MBALI : USIKU WA KHANGA ZA KALE ULIVYOFANA JIJINI DAR ES SALAAM.

By Gadiola Emanuel - 12:25:00 AM




 Mgeni Rasmi katika Maonyesho ya Mavazi ya Usiku wa Khanga za Kale,Mke wa Makamu wa Rais,Mama Aisha Bilal akizungumza machache wakati wa shughuli hiyo iliyofanyika usiku huu kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena,Jijin Dar es Salaam.Usiku wa Khanga za Kale ni siku pekee ya Kuonyesha Mavazi yaliyobuniwa kwa kutumia Khanga,yanayoandaliwa kila Mwaka na Mbunifu wa Miaka mingi,Mamaa wa Mitindo Asia Idarous.


 Mgeni Rasmi katika Maonyesho ya Mavazi ya Usiku wa Khanga za Kale,Mke wa Makamu wa Rais,Mama Aisha Bilal (kulia) akipokea zawadi ya Sahani iliyochorwa jina lake,kutoka kwa Muandaaji wa Maonyesho hayo ya Usiku wa Khanga za Kale,Mama Asia Idarous.


 Mgeni Rasmi katika Maonyesho ya Mavazi ya Usiku wa Khanga za Kale,Mke wa Makamu wa Rais,Mama Aisha Bilal akimkabidhi cheti cha Ushiriki,Mrembo wa Tanzania alieamaliza muda wake,Brigit Alfred.Katikati ni Mamaa wa Mitindo,Asia Idarous.


 Muwakilishi wa Valey Spring akipokea cheti.


 Mwanalibeneke Othman Michuzi,akipokea Cheti kutoka kwa Mgeni Rasmi ikiwa ni cheti cha moja wadhamini wa Onyesho hilo.


 Salma Msangi akipokea Cheti kwa niaba ya Radio Magic Fm na Channel 10 televisheni.


 Dada Garina Ajmy akipokea Cheti kwa Niaba ya Clouds Media.


 Mkurugenzi wa Magazeti ya Jambo Leo,Benny Kisaka.


 DJ "JD" John Dilinga.


 Mariam Ndabagenda.Picha zaidi bofya hapa>>>

  • Share:

You Might Also Like

0 comments