KITALE AVUTA JIKO MAPEMAA

By Gadiola Emanuel - 5:54:00 AM

 Msanii wa Filamu za kuchekesha hapa nchini maarufu kama Kitale, jana amesherehekea siku yake muhimu, kwa kufunga ndoa na mpenzi wake, ambae leo hii tunamuongelea kama mkewe, Bi Fatma Salum.
Ndoa hiyo ilifungwa majira ya Saa nane mchana maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na watu kibao wakiwemo marafiki, ndugu na jamaa.
Ndiyo nakubali .....!!!!


Ngoja nianguke Signature hapa....
Mmeniona hapo.....???
Anguka sahihi mke wangu tusepe zetu...
CHETI HALALI CHA NDOA HIKI HAPA SASA...!!!!???picha zaidi: Bofya hapa>>>

  • Share:

You Might Also Like

0 comments