DIAMOND PLUTNAMZ AFANYA KUFURU JIJINI ARUSHA

By Gadiola Emanuel - 7:56:00 AM


Kiukweli Namshukuru Sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kufanikisha 
usiku wangu huu wa Usiku wa Valentine 

uliofanyika Mjini Arusha ndani ya CLUB SAFARI CARNIVAL

Tareh 16/02/2013....maana ilikua ni mara ya Kwanza kwa Msanii wa kitanzania

kufanya show kwa Kiingilio kikubwa cha (150,000) Laki Moja na Nusu na watu kufurika

pasipo hata mimi kutegemea.....Kiukweli ilinifariji sana na kuona kweli Watanzania

wanathamini na kujali vipaji na sanaa zao tofauti na zamani tulikuwa tukiona show ya

 kiingilio kikubwa ni mpaka msanii wa kutoka nje akija nchini ndo watu ujaa kwa wingi..!
Inanipa hali ya kuzidi kufanya vizuri, kujituma na kuwa mbunifu zaidi ili nami kesho

na kesho kutwa niweze kuiweka Nchi yangu kwenye Ramani nzuri ya

 Tasnia ya Muziki....!!
Niushukuru Pia Uongozi mzima wa CLUB SAFARI CARNIVAL,

 MOUNT MERU HOTEL... Ma Boy
Victor,Erick na Wanangu wote Niliokuwa nao Pamoja Arusha..Bila kumsahau

My Blood Ibrah Madharau
Shughuli ilianzia Hapa.........!!








 






 

























Source: This is Diamond

  • Share:

You Might Also Like

0 comments