Rais wa Kalunde Band, Deo Mwanambilimbi akikata keki kwa pamoja na Meneja wa benki hiyo, Deborah Nyangi ambaye pia ni Muasisi wa Band hiyo.
Deborah Nyangi
akiandaa keki kwa ajili ya kuwalisha baadhi ya wadau. Kushoto ni Rais
wa Band hiyo, Deo Mwanambilimbi na Mwapani Yahya
Deo kama anasema; Tumetimiza miaka saba na tunasonga mbele.
Rais wa
Kalunde Bande, Deo Mwanambilimbi akimlisha keki, Meneja wa band hiyo,
Deborah Nyangi wakati wa sherehe ya kutimiza miaka saba tangu kuanzishwa
kwa bendi hiyo.
Kiongozi wa Wanamuziki, Bob Rudala akilishwa keki.
Wanamuziki wa Kalunde Band wakiwajibika jukwaani wakati wa Valentine Day.
Othman Amri King Majuto - Bass Guitar na Rajab Nyunyusa - Tumba
Meneja wa Band, Deborah Nyangi.
Frola Bambucha
Queen
Vero (kushoto) na Flora Bambucha wakicheza sambamba na Kalunde Band
wakati wa sikukuu ya valentine iliyokwenda sambamba na band hiyo
kutimiza miaka saba.
Siku
ya Valentine ni muhimu kwa Kalunde kwani ndiyo siku ambayo band hii
ilianzishwa. Band ilianzishwa tarehe 14.02.2006. Hapa rais wa Band
hiyo, deo Mwanambilimbi akiweajibika jukwaa leo katika kiota cha maraha
cha Trinity Oysterbay.
Kundi zima la bendi hiyo kama ifuatavyo.
HAPPY BIRTHDAY
ya
kutimiza miaka saba ya Kalunde Band ilikwenda sambamba na sherehe za
siku ya wapendanao ambapo mashabiki wake walipata barudani ya kukata na
mundu katika kiota cha maraha cha wapendanao cha Trinity maeneo ya
Oysterbay jijini Dar es salaam karibu na Ubalozi wa Uganda.
Kundi zima la bendi hiyo kama ifuatavyo.
Deo Mwanambilimbi - Rais wa Band - Muasisi wa Band
Debora Nyangi - Meneja - Muasisi
Bob Rudala - Kiongozi wa wanamuziki
Bony Kaprobo - Solo Guitar - Band Stage Leader
Shehe Mwakichui - Keyboard Player / Mwimbaji - Muasisi wa band
Edson Allen (Eddy) - Solo Guitar
Othman Amri Majuto - Bass Guitar
Rajab Nyunyusa - Tumba
Alfa - Drummer
Mackie Fanta - Mwimbaji
Devotha, Mwapwani Yahya, Shila, Amina, wote hawa ni waimbaji. Source: Michuzi blog
0 comments