VODACOM MISS TANZANIA 2011 AKABIDHIWA RASMI JEEP PATRIOT LEO
By Gadiola Emanuel - 5:11:00 AM
Vodacom
Miss Tanzania Salha Israel akipokea funguo ya gari aina ya Jeep
Patriot kutoka kwa Meneja Matukio na Udhamini wa kampuni ya Vodacom
Tanzania Rukia Mtingwa kama ishara ya makabidhinao ya zawadi ya ushindi
kwa kutwaa taji la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika shindano
lililofanyika Septemba.Kulia ni Mkurugenzi wa Lino Agency waratibu wa
shindano hilo la Vodacom Miss Tanzania Bw. Hashim Lundenga na mwengine
anaeshuhudia ni Meneja Masoko wa CFAO wadhamini wenza wa shindano Bw.
Alfred Minja. Gari hiyo ina thamani ya shilingi 72 Milioni.
Meneja Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa
akimuelekeza jambo Vodacom Miss Tanzania Salha Israel wakati wa
kumkabidhi rasmi gari aina ya Jeep Patriot yenye thamani ya shilingi 72
Milioni.
Vodacom
Miss Tanzania Salha Israel akionyesha funguo ya gari aina ya Jeep
Patriot lenye thamani ya shilingi milioni 72mara baada ya kukabidhiwa
na Meneja Udhamni na Matukio wa kampuni ya Vodacom Tanzania Rukia
Mtingwa wa pili toka kulia kama ishara ya makabidhinao ya zawadi ya
ushindi kwa kutwaa taji la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika shindano
lililofanyika Septemba.Kulia ni Mkurugenzi wa Lino Agency waratibu wa
shindano hilo la Vodacom Miss Tanzania Bw. Hashim Lundenga na mwengine
anaeshuhudia ni Meneja Masoko wa CFAO wadhamini wenza wa shindano Bw.
Alfred Minja.
Vodacom
Miss Tanzania Salha Israel akifungua mlango wa gari lake aina ya Jeep
Patriot lenye thamani ya shilingi 72 milioni tayari kwa kuondoka nalo
mara baada ya kukabidhiwa rasmi na Meneja Udhamini na Matukio wa
kampuni ya Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa hayupo pichani,Ikiwa ni zawadi
ya ushindi kwa kutwaa taji la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika
shindano lililofanyika Septemba.
Vodacom
Miss Tanzania Salha Israel akiondoka na gari lake aina ya Jeep Patriot
lenye thamani ya shilingi 72 milioni mara baada ya kukabidhiwa rasmi
na Meneja Udhamini na Matukio wa kampuni ya Vodacom Tanzania Rukia
Mtingwa hayupo pichani,Ikiwa ni zawadi ya ushindi kwa kutwaa taji la
Vodacom Miss Tanzania 2011 katika shindano lililofanyika Septemba.
Meneja
Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa akiongea na
waandishi wa habari hapo pichani wakati wa kumkabidhi rasmi Vodacom
Miss Tanzania Salha Israel gari aina ya Jeep Patriot yenye thamani ya
shilingi 72 Milioni,kulia Meneja Masoko wa CFAO Alfred Minja ambao ni
wadhamini wenza.
Na Full shangwe Blog
0 comments