SHEREHE ZA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA UHURU LONDON UK

By Gadiola Emanuel - 2:23:00 AM

Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Balozi PETER KALLAGHE katikati akiwakaribisha wanamuziki wa Tanzania,Ally Kiba kutoka kushoto Diamond na Profesa Jay kulia , wanamuziki hao wapo nchini Uingereza katika ziara ya kimuziki. WATU WA COVENTRY , LEICESTER NA MILTON KEYNES MKAE MKAO WA KULA VIJANA WANA KUJA KUFANYA MAMBO HUKO
Kaka Diamond nae alifunika bovu kwa staili zake za kucheza.
Ally Kiba akitumbuiza
Palikuwepo na onyesho la ngoma na minenguo ya ki Tanzania kama wanavyoonekana katika picha wasanii hawa wakicheza ngoma za asili za Tanzania. 
na Full Shangwe blog

  • Share:

You Might Also Like

0 comments