RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAMIA YA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MTANGAZAJI WA TBC MAREHEMU HALIMA MCHUKA JANA.
By Gadiola Emanuel - 3:49:00 AM
Rais
Jakaya Kikwete akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu wa TBC Bw Clement
Mshana wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mtangazaji Halim Mchuka leo
katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kabla ya kwwenda kuzikwa
makaburi ya Msasani baada ya Sala ya Ijumaa. Picha na Aron Msigwa
0 comments