Mkurugenzi
Mtendaji wa Kituo cha Times Radio FM, Rehule Nyaulawa akielezea
historia na mafanikio ya kituo hicho, wakati wa hafla ya kukitambulisha
upya kituo hicho, Dar es Salaam jana.Kituo hicho kilichoanzishwa mwaka
2000, hivi sasa kinaongoza kusikilizwa na watu wengi katika mikoa ya Dar
es Salaam, Pwani na Morogoro.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiy, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro, Dar es Salaam.
Mmoja wa watangazaji wa Times Radio FM, Ali Masoud 'Kipanya'akiongoza hafla hiyo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kituo cha Times Radio FM, Rehule Nyaulawa (katikati), akiwa
na aliyemwakilisha mgeni rasmi, Sihaba Nkinga (wa pili kulia) pamoja na
baadhi ya wageni waalikwa.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,
SihabaNkinga akihutubia kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo, Emmanuel
Nchimbi, wakati wa hafla hiyo.
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Times Radio FM, Rehule Nyaulawa(kulia)
akigana na Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo, Sihaba Nkinga baada ya hafla hiyo kumalizika.
0 comments