Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Sheria wa kampuni ya Vodacom Tanzania.

By Gadiola Emanuel - 8:36:00 AM

 
 
 

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Sheria wa kampuni ya Vodacom Bw. Walarick Nittu wakati Mkurugenzi Mendaji mpya wa Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza (wa pili kulia) alipomtembelea Waziri Mkuu ofisini kwake jijini Dar es salaam leo kujitambulisha. Wa pili kushoto ni Ofisa Masoko Mkuu na Mahusiano wa Vodacom Bi. Mwamvita Makamba.

  • Share:

You Might Also Like

0 comments