KWA UDHAMINI WA VODACOM, SECAT, BATOO NA BARISTA PUB & GRILL

By Gadiola Emanuel - 10:02:00 AM

Kaa tayari kujiachia na Inter College Bash  ndani ya mji wa Arusha.Ukiwa umeshatinga katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid utakutana na watoto wakali, marafiki wa sasa, zamani na wapyaaaa!! na zaidi show itapigwa ya ukweli duh!! usikose Jombaa!!

  • Share:

You Might Also Like

0 comments