SAMAHANI WADAU NILIPOTEA KIDOGO...!!!!???

By Gadiola Emanuel - 8:05:00 AM

 

C.E.O wa blog ya wazalendo25 na gadiola25 nikitulia kwa masikitiko ya kuibiwa Laptop,Iphone na Modem yangu na watu nisiowajua.ila ninawaombea kwa Mungu awape wezi hao Neema na Baraka Tele. Bado nawapenda sana na Mungu atanipa Nyingine.Poleni wadau!!!


  • Share:

You Might Also Like

0 comments