THE AFRICAN BAND :FFU WAFANYA KWELI KATIKA MJI WA BREMEN, UJERUMANI
By Gadiola Emanuel - 2:37:00 AM
fan wa ngoma africa band akisainiwa autograph katika CD na Kamanda Ras Makunja. FFU wa Ngoma Africa band na mitutu yao wakishambulia mjini Bremen Flora Williams na Jessy Oyah waimbaji wakike wa ngoma afrika band kazin Full muzuka Ngoma Africa Band Live bila chenga Jiji la Bremen, Ujerumani Glory Mndeke mwimbaji Rapa wa Ngoma Africa band. hili ndilo jengo la Übersee-Museum Bremen,lililotingishwa na...