KIPINDI CHA "DANGER ZONE LIFE" KITAKACHO SIKIKA HIVI KARIBUNI.

By Gadiola Emanuel - 5:34:00 AM


 Sasa unaweza kusikiliza na ku-DOWNLOAD "TEASER" ya kipindi cha "DANGERZONELIFE" kitakachokuwa kinawekwa hapa katika mtandao wa Internet mara moja kwa wiki.

Kikubwa zaidi ni mahojiano na watu mbali mbali ambao ni wataalam wa mambo ya kijamii na kiuchumi, Wasanii (burudani) na hata wananchi wa kawaida.

MALENGO ni kuweza kuwakumbusha wenzetu katika jamii kuepukana na mambo yanayoleta hasara, hatari ya kupoteza maisha, uharifu na njia mbali mbali za kuweza kujikwamua kiuchumi. Pia lengo jingine ni kupata udhamini wa kipindi hiki ili kiweze kwenda redioni na kusajiliwa rasmi.
SIKILIZA UTANGULIZI HAPA
 
.
Kipindi kitakuwa kinasikika kupitia blogs mbali mbali kama www.jitambuekwanza.blogspot.com, www.wazalendo25.blogspot.com, www.arusha255.blogspot.com, Asili Yetu Tanzania na nyinginezo kibao.
 Sasa unaweza kusikiliza na ku-DOWNLOAD "TEASER" ya kipindi cha "DANGERZONELIFE" kitakachokuwa kinawekwa hapa katika mtandao wa Internet mara moja kwa wiki.

 

  • Share:

You Might Also Like

0 comments