CHEKI HAPA SEHEMU MUHIMU INAYOMPA RAHA MWANAMKE WAKATI WA KUFANYA MAPENZI
By Gadiola Emanuel - 1:22:00 AM
Tendo
la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu. Wakati
tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa upande wa binadamu ni
zaidi ya kuzaa.Mapenzi au tendo la ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi
na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo hili.
Yafuatayo ni maeneo 12 yenye msisimko na kama mwanaume utayashughulikia ipasavyo bila shaka mtafurahia uumbaji wake Mungu.
1. MIDOMO YAKE. Tumia
midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa juu na wa
chini na umbusu kwa msisimko mkubwa. Kunyonya ulimi pia huchangia
kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni.(usafi wa kinywa kwa wote
wawili ni muhimu).
2. UKE NA KINEMBE. Tumia kidole chako cha
kwanza cha mkono wa kulia polepole pitisha katika mfereji wa uke
ukianzia chini (kutokea kwenye matako) ukipandisha juu, fanya hivyo mara
kadhaa. Kutegemea umbo lako na urefu, unaweza kuchanganya zoezi hili na
kunyonya matiti yake na hapo utaona upumuaji wake ukibadilika na
majimaji yakiongezeka kwenye uke.
Kwa kawaida kinembe cha
mwanamke kimejificha lakini ukifanya vizuri zoezi la hapo juu na
chenyewe kama uume kitajaa damu na kuinuka. Kinembe kipo juu kabisa ya
mfereji wa uke na kina ukubwa wa harage au kwa wanawake wengine huwa
kidogo zaidi. Tumia kidole chako cha kwanza na taratibu zungusha
zungusha kidole juu ya kinembe, pandisha na kushusha kidole chako na
hapo unaweza kumfikisha kwenye kilele cha utamu wa mapenzi hata kabla ya
hujaiingiza uume.
Wanawake wengi watafurahia ukitumia uume wako
uliosimama vizuri kupigapiga eneo la kinembe na hii huufanya uume kuwa
wa moto na unapomwingilia joto la uume wako litafanya raha ya tendo hili
kuwa kubwa zaidi. Kinembe ndio sehemu ambayo kwa asilima 80 huhusika na
kazi ya kumfikisha mwanamke kileleni na kwa kuwa kinembe kiko mbali
kidogo toka kwenye tundu la uke, sio rahisi kwa uume kukifikia kinembe,
hivyo mwanaume anatakiwa ajisukume kwa makusudi kabisa kwenda mbele ili
shina la uumelisugue kinembe wakati wa kuingia na kutoka kwa uume.
3. MATITI YAKE. Matiti
yake ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke kama ilivyo kwa uke wake.
Utampatia raha kamili mwanamke kama utayapapasa papasa matiti yake
utayaminyaminya kwa upole wa kimahaba, utayalambalamba na kuyanyonya.
4. MASIKIO YAKE. Wanawake wengi hupata burudani masikio yao yanapolambwa au kunyonywa au kupigwa busu.
5. SEHEMU YA NYUMA YA SHINGO Tumia
ulimi wako kulamba sehemu ya shingo yake kwa mwendo wa kutekenya
tekenya.Tumia ncha ya ulimi kutekenya tekenya kwa kufanya mduara na
kuendelea kuchora mduara na kurudiarudia.
6. SEHEMU YA NYUMA YA GOTI. Sehemu
ya nyuma ya goti ina miishio mingi ya mishipa ya fahamu na utashangaa
jinsi ambavyo mwanamke atapata burudani kwa kuishughulikia vyema sehemu
hii.
7. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA. Tumia ubapa wa kiganja
chake kupapasa kwa ulaini sehemu ya ndani ya mapaja yake, fanya hivyo
juu juu huku ukimbusu busu mapaja yake.
8. MATAKO YAKE. Wanawake
wengi wanapenda matako yao yachezewe kimahaba,anza kwa kuyapapasa
papasa,endelea kwa kuyaminya minya kwa kutumia vidole.
9. MIISHO YAKE. Miguu
yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho baadhi ya
wanawake wanaweza kufika katika kilele cha burudani ya tendo la ndoa kwa
miguu yao kusuguliwa na kupapaswa.
10. USO WAKE. Mwanamke
atafurahi sana utakaposhika uso wake katika hali ya mahaba na huku
ukitabasamu. Wakati ukifanya hivyo unaweza kumbusu midomo yake, mashavu
na kwenye paji la uso.
11. HIPS ZAKE. Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke ajisikie amekubalika kabisa iwapo utashika wakati wa tendo la ndoa.
12. G-SPOT Sehemu
hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana ikibonyezwa
bonyezwa, sehemu hii ipo sentimeta 5 kutoka mlango wa uke na iko katika
ukuta wa juu wa uke.Sehemu hii ikibonyezwa na kuchezewa ipasavyo
mwanamke anaweza akapizi mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja. Hii ni
njia rahisi ya kumfikisha mwanamke kileleni, mwanaume aingize kidole
kwenye uke na kubonyeza na kusugua sehemu ya juu ya uke, sehemu hii
imekaa kama sponji na huwa ngumu kwa kadiri inavyobonyezwa.
Mwanamke anawezakujisikia kama anataka kukojoa kabisa na hawezi kukojoa ila raha atakayopata ni kubwa sana.
NB.Ni
muhimu kutambua kuwa sehemu hizi 12 ni muhimu. Suala lililo muhimu
sana ni wawili wapendanao kuwa wawazi na wawe na uhuru wa kuambiana
jinsi wanavyojisikia
0 comments