VICTORIA BECKHAM KWENYE JARIDA LA "ELLE UK"

By Gadiola Emanuel - 1:48:00 AM


Victoria Posh Beckham mwenye watoto wanne, msanii na model time hii ni zamu yake kuonekana katika "Elle Magazine" jarida la huko Uk. Katika mahojiano yake yatakayowekwa katika jarida hili, Victoria atafunguka kuhusiana na maisha ya familia yake, maisha tokea akiwa katika kundi la SPICE GIRLS na mwanamitindo. Jarida litatoka mwezi march.


Mtoto wa Victoria na Beckham - ROMEO BECKHAM: Source: Asili Yetu Tanzania

  • Share:

You Might Also Like

0 comments