MLIMBWENDE WA KITONGOJI CHA ARUSHA MJINI APATIKANA

By Gadiola Emanuel - 10:58:00 AM

Marry Joel amefanikiwa kutwaa taji la mlimbwende wa kitongoji cha Arusha mjini (Arusha City Cetre) ,mshindi wa pili ni Neema Edwad na Mshindi wa tatu ni Stacey Alfred. Washindi wote wa tatu watashiriki kinyanganyiro cha kumsaka mrembo wa mkoa wa Arusha (Miss Arusha,na baadae kumpata mlimbwende wa Miss Vodacom Tanzania 2011.

  • Share:

You Might Also Like

0 comments