KONGAMANO LA KUIOMBEA NCHI YETU-TANZANIA

By Gadiola Emanuel - 5:55:00 AM


Kongamano hili lilifanyika katika uwanja wa mpira wa Sheikh Amri Abeid -Arusha na kuhudhuriwa na wachungaji wa makanisa yote ya hapa mjini arusha,ili kuiombea nchi yetu ya Tanzania;Pia alikuwepo mheshimiwa Mbunge wa ARUSHA mjini kupitia chama cha CHADEMA,Mh. Godbless Lema

  • Share:

You Might Also Like

0 comments